Skip to content

Habari

Habari
Hifadhi

Risala na Barua

Matini
Hifadhi

Kumbukumbu na Simulizi

Kabla ya Mapinduzi
Baada ya Mapinduzi

Sauti na Taswira

Picha
Sauti
Video
Ujumbe Kufuatia Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Iran kwenda Kombe la Dunia la 2014 Chapa
18/06/2013

Baada ya timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kufanikiwa kwenda katika fainali za Kombe la Dunia la 2014, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Udhma Khamenei ametoa ujumbe maalumu kwa taifa.
Matini kamili ya ujumbe wake huo ni kama ifuatavyo:


Bismillahir Rahmanir Rahim.
Ushindi wa timu ya taifa ya mpira wa miguu, umewafurahisha wananchi na hasa wapenzi wa michezo nchini.
Ninawashukuru sana wapendwa wote ambao wameleta furaha hii na ninawaambia juhudi zao zimezaa matunda, tunawashukuru sana.
Sayyid Ali Khamenei
28/Khordad/1392
Juni 18, 2013.

 
< Nyuma   Mbele >

^