Skip to content

Habari

Habari
Hifadhi

Risala na Barua

Matini
Hifadhi

Kumbukumbu na Simulizi

Kabla ya Mapinduzi
Baada ya Mapinduzi

Sauti na Taswira

Picha
Sauti
Video
Ujumbe wa pongezi wa Kiongozi Muadhamu kufuatia ubingwa wa dunia wa timu ya mieleka ya Iran Chapa
13/04/2015

 Kufuatia timu ya taifa ya taifa ya mieleka ya Iran kupata ushindi wa kupigiwa mfano na kuwa bingwa wa dunia wa mieleka katika mashindano ya Kombe la Dunia la Mieleka, Ayatullah Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe maalumu kwa timu hiyo ya taifa ya mieleka, ambapo matini kamili ya ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ni kama ifuatavyo.

 

Bismillahir Rahmanir Rahim.
Ninatumia fursa hii kutoa mkono wangu wa baraka kwa timu ya taifa ya mieleka na kwa wote wanaohusika na sekta hiyo kufuatia timu ya taifa ya mieleka kuchukua ubingwa wa Kombe la Dunia (katika mashindano yaliyofanyika huko Marekani). Kwa mara nyingine tena, wanetu wameliletea fakhari taifa letu katika uga wa kimataifa. Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa hilo.

Sayyid Ali Khamenei
24 Farvardin 1394
(Aprili 13, 2015).

 
< Nyuma   Mbele >

^